Tunakualika kuwa sehemu ya mabadiliko haya kwa kudhamini Tuzo hizi. Udhamini wako ni kielelezo halisi cha uzalendo na kuunga mkono jitihada za Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake katika kuboresha sekta ya habari na kuchochea maendeleo ya jamii.
Tafadhali tumia taarifa za Benki hapo chini:
Jina la Benki : NMB :
Jina la akaunti : EVENT AND AWARDS S.H HOUSE
Nambari ya akaunti: 24110016754 (USD)
Nambari ya akaunti: 24110016753 (TZS)