Tuzo za Waandishi wa Habari za Maendeleo
Kalamu Kwa Maendeleo.

Samia Kalamu Awards 2026, ni jukwaa mahsusi la kutambua, kuenzi na kukuza weledi katika taaluma ya uandishi wa habari nchini. Kupitia tuzo hizi, tunalenga kuimarisha ubora wa taarifa, kuongeza uandishi wa maudhui ya ndani yenye tija, kuhamasisha uwajibikaji na kutambua mchango wa vyombo vya habari katika kulitangaza taifa ndani na nje.
Hakuna wadhamini kwa sasa.
Tunakualika kuwa sehemu ya mafanikio haya kwa kudhamini tuzo hizi