Uzinduzi SKA 2025
UZINDUZI WA TUZO ZA UANDISHI WA HABARI NA MAKALA ZA MAENDELEO – SAMIA KALAMU AWARDS (SKA) 2026
Press ya uzinduzi wa SAMIA KALAMU AWARDS (SKA) 2025
Simulizi zinazobainisha nguvu ya kalamu kwa mwandishi aliyeitumia kalamu hiyo kwa weledi na kuleta matokeo chanya kwa jamii
Ushindani kwenye Samia Kalamu Awards unazingatia ubora na si jinsia, wanahabari wanawake wahimizwa kushindanisha kazi zao.
Ni kicheko na tabasamu la matumaini kwa washindi wa Samia Kalamu Awards wakifungua ukurasa mpya wa maendeleo ya uchumi wao.
Napenda kuwajulisha kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), tumeanza maandalizi ya utoaji wa Samia Kalamu Awards (SKA) 2026 ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
