2Awe amethibitishwa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa upande wa Tanzania Bara, kwa Zanzibar awe na kitambulisho cha mwandishi wa
habari (Press Card)
3Asiwe na rekodi ya kutiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai
4Inayohusu masuala ya maendeleo na kuibua simulizi za wananchi zinazoonesha namna miradi ya kitaifa ilivyofungua fursa na kubadili maisha ya wananchi
5Iliyofanyiwa utafiti wa kina, inayohusisha uchambuzi na takwimu
6Imechapishwa, kutangazwa au kurushwa kati ya Julai 01, 2025 hadi Juni 15,2026
7Iliyochapishwa, kutangazwa au kurushwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza katika vyombo vya habari vya ndani au nje ya Tanzania
8Inayohusisha vyanzo vya habari visivyopungua vinne (4)
9Haijashindanishwa katika tuzo nyingine
10Iwe na maudhui yanayozingatia ulinzi wa haki-miliki na haki shiriki
11Kwa chombo cha habari kiwe na leseni hai iliyotolewa na mamlaka husika
Vigezo hivi ni vya jumla. Kila kundi la tuzo lina vigezo vyake maalum — utaviona ukijaza fomu ya maombi chini ya kundi husika.