Jinsi ya Kushiriki

5 Hatua

Hatua za Kushiriki

Fuata hatua zilizoorodheshwa chini au kuangalia video ili kushiriki katika Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026

01

Kujiandikisha

Tembelea tovuti rasmi na ujaze fomu ya maombi. Hakikisha unatoa taarifa sahihi za kibinafsi na za kitaaluma.

02

Wasilisha Kazi Yako

Pakia kazi zako bora za uandishi wa habari zilizochapishwa au kutangazwa katika kipindi cha mwaka husika.

03

Majaji kupitia kazi

Jopo la majaji kupitia kazi zilizowasilishwa ili kuchagua kazi zilizo bora

04

Kupiga Kura

Baada ya kazi kupitishwa na jopo la majaji, umma utaalikwa kupiga kura kupitia mfumo wa USSD au mtandaoni.

05

Utoaji wa Tuzo

Washindi watatangazwa katika hafla maalum ya tuzo na kupokea zawadi kutoka kwa wadhamini wa mashindano.

Hakuna vyombo vya habari bado

Muhtasari wa Hatua

  1. 1Kujiandikisha
  2. 2Wasilisha Kazi Yako
  3. 3Majaji kupitia kazi
  4. 4Kupiga Kura
  5. 5Utoaji wa Tuzo