

Chombo kiwe chenye leseni hai iliyotolewa na mamlaka husika.
Chombo ambacho kimetangaza au kuchapisha makala za habari za maendeleo za kiuchunguzi, kiuchambuzi na zilizozingatia maslahi ya umma.
Uendelevu (consistence) katika uchapishaji au utangazaji wa makala za habari za maendeleo zenye kuleta matokeo chanya.
Chombo kiwe kimechapisha au kutangaza makala za maendeleo zinazogusa sekta zisizopungua tatu (3) ambazo zimeleta matokeo chanya kwa jamii.
Chombo kilichoingiza kazi nyingi za Waandishi katika tatu (3) bora kwenye kundi la kisekta.
